Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasubiri tu mimi...
nimewagawa bure family hii ni vivuruge hasa tena[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahha!!
Utanogewa rafiki
Hahahah!!
Wewe muache tu
Huko pazito ata usitamani kujua
Hahaha!!
Aiseee huu ni uvamizi wa uzi wa watu na ukhuty bado hajaja...
Familia inafujo sana
[emoji3][emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tumeshakubaliana kuyavaa wote watatu tuliopo humu
nipo my mdog nami nimekumiss jipange tu tujeMwenyewe adi nimeshammiss
Ajiandae vya kutosha kabisa huu ugeni ni wa kiaina yake.
na ndo maan nimekujaNgoja nimpigie video call hapa
nimekuja dada siwajua tena
Kidogo kidogo tu utazoea kama ulivyojizoesha usingiziHahahaa. Haya mdogo wangu.
Ila napenda usingizi sijui kama nitaweza.
punde tu mpite seblen nimeshaandaa tyrHahahaaa. Upo kama mie nimemiss pia yaani.
Au anaandaa lunch nini?
Akikusikia nanliu wake weeeweee!
Nakuamiania Dada leo lazima nijikang'ate vidole na ulimi..mim leo niko busy namwaga mapishi