Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah!! Kiongozi mkuu ni Hajar yaani ana fujo huyo mimi simuwezinimewagawa bure family hii ni vivuruge hasa tena
Hili tukio la muhimu sananipo my mdog nami nimekumiss jipange tu tuje
Hapo sawa..umoja ni nguvuTumeshakubaliana kuyavaa wote watatu tuliopo humu
[emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]Nina imani hayuko hewani, tumsubiri atakuja
Bila shaka kashaivisha...
nishaivisha dad njoon tule kwanza basi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nimewagawa bure family hii ni vivuruge hasa tena
Hahaaa. Huyo naniliu wake urafiki wa Davet na Hajar kaukuta hivyo avumilie tu kwa kweli.Akikusikia nanliu wake weeeweee!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]ondoa Shaka kabisa.
hutapitwa na kitu
Usisahau na pepsi bigswadaktaaa..
hapo mwali umenena.
me ntapitia coca kola bonge kwa mangi
haha wacha kabisa kuhusu mapishi tuko vizur vibay mnoo
Davet ngoj niende kuleee kweny interview kwanz
Karibu sana Dada yangu, tumekumiss sana ujue..nimetokea mdog wangu asante kwa kutambua uwep wangu
haha wacha kabisaNakuamiania Dada leo lazima nijikang'ate vidole na ulimi..
Ewaaaaa. Hayo ndio maneno sasa.swadaktaaa..
hapo mwali umenena.
me ntapitia coca kola bonge kwa mangi
usijal damu yanguHahah!! Kiongozi mkuu ni Hajar yaani ana fujo huyo mimi simuwezi
Hili tukio la muhimu sana