Watu ambao nataman kuonana nao.

Watu ambao nataman kuonana nao.

Hello wana chamvi, tangu nijiunge na mtandao the huu wa Jf nimekuwa nikifatilia baadhi ya thread za watu na hawa ndo nilitaman kuonana nao live (mubashara)
1.Demiss
2.Mzigua
3.Bujibuji
4.Mshana Jr
5.Miss natafta.
So kama upo tayr plz nipe appointment yako.
Unajulikana kwanza ww?
 
tabu tupu yaan naona mmeshib sasa davet umekimbilia ndan kulala mwifwa hali kadhalika mkishib mna tabu san nyie watoto
Hah ahahahhaaaa.

Wallah nilikuwa nimelala toka majira ya saa tisa ndio nimeamka sasa hivi, maana Jamhuri imeniachia mapema halafu hali ya hewa ikawa ya mvua ikanishawishi kulala.
 
Only Mshana Jr nataka nimgeuzi mbuzi jike mtoto wa mkulu anaechafua watu kwa maslahi yake.
 
Back
Top Bottom