Nikiangalia mbele miaka 50 ijayo naona ni mbali sana.Sijui kama jamii hii ninayoiona leo ina ubavu wa kufika huko!Jamii imeoza,imekwisha kabisa.Si watoto wala wakubwa,maadili hakuna kabisa.Ngono,ukatili wa kutisha,watoto kutotii wazazi,tamaa za kila aina,kupenda anasa,'agressiveness' nk,Kwa ujumla jamii imechanganyikiwa,na inaelekea hakuna anayeelewa la kufanya.Mimi binafsi nimechunguza kwa muda mrefu matatizo haya.Nina mawazo,wenzangu mko huru kunipinga, lakini naomba anayenipinga atoe facts,sio blaa blaa tu.Kwanza naomba niseme kwamba matatizo haya yamezidi kuongezeka baada ya chanzo nazo kuongezeka,Kwahiyo natoa lawama moja kwa moja kwa chanzo tulizo nazo.Katika hili naomba serikali kwa nia njema kabisa kama kweli ni sikivu, ifanyie 'analysis' chanzo zote ili kuweza kubaini kama kweli ni salama kwa watoto wetu.Zipo taarifa za kuaminika zinazoonyesha kwamba huku kuongezeka kwa vitu kama kupenda ngono kupindukia na 'agressiveness' kunaletwa na hormones ambazo zimepandikizwa kwa siri kwenye chanjo.Hata dawa hizi tunazokunya mahosipitalini, kuna taarifa za kuaminika kwamba kuna kila aina ya sumu zilizowekwa huko, ili kupunguza idadi ya watu wanaokula bila faida.Kwa hiyo dawa nazo zifanyiwe uchunguzi wa kina.Uchunguzi huo kama tuna vifaa ufanyike hapa hapa nchini,tukipeleka 'samples' kwao watatupa 'data' za uongo.Wanasema wamechoka kutoa misaada.Taarifa zinaonyesha kwamba kuna mpango wa kupunguza watu billioni tatu ifikapo 2050.Wajinga hao wanaohusika na mpango huo wanaamini kwamba, dunia kama ilivyo sasa haiwezi kuhimili ongezezeko zaidi la watu,kwa hiyo wanatumia mbinu za kila aina ili kuwezo kufikia azma yao hiyo mbaya.Tusipo amka tumekwisha.Vita ni vikali mno.Wamesema hawatatutawala 'phisically' tena ila watatumia silaha za mbali.Mtanzania kama una akili timamu fikiria kwa undani Ngao ya vyandarua,waterguard,vidonge vya majira nk.Ni salama kweli kwako?List ni ndefu sana.Amka!