Remigius22
New Member
- Feb 4, 2023
- 2
- 6
Acha wajinga wapigwe tu, hao ndio wanafanya hata bandari zetu zinauzwa kwa jeuriJamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi.
Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao wanafunga tena wanajibu kwa jeuri sana.
Simu ya laki 3, riba yao haiongeleki. Serikali watusaidie. Ukiwaambia gharama halisi za simu sokoni, wanasema wao hawauzi simu. Tunaibiwa
Umeitwa? Maduka huyaoni? Nyie wanyama mnahitaji viboko vya kichwa.Jamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi.
Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao wanafunga tena wanajibu kwa jeuri sana.
Simu ya laki 3, riba yao haiongeleki. Serikali watusaidie. Ukiwaambia gharama halisi za simu sokoni, wanasema wao hawauzi simu. Tunaibiwa
Na makwenziUmeitwa? Maduka huyaoni? Nyie wanyama mnahitaji viboko vya kichwa.
simu gani hyo ya laki 3 ukalipa 1mJamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi.
Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao wanafunga tena wanajibu kwa jeuri sana.
Simu ya laki 3, riba yao haiongeleki. Serikali watusaidie. Ukiwaambia gharama halisi za simu sokoni, wanasema wao hawauzi simu. Tunaibiwa
Habari ya mjini ni DP world... hiki kibibi kitasusa na kurudi kwao Oman.Tunajadili mustakabali wa bandari yetu kwanza, upumbavu wenu wa simu peleka FB
Mwisho mashamba yetu ya chai chivanje (kampuni)nayo yauzwe 🤠🤠Habari ya mjini ni DP world... hiki kibibi kitasusa na kurudi kwao Oman.
Watu wengine ujinga umewazid mpk mnashangaza kwani kukopa unalazimishwa?Jamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi.
Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao wanafunga tena wanajibu kwa jeuri sana.
Simu ya laki 3, riba yao haiongeleki. Serikali watusaidie. Ukiwaambia gharama halisi za simu sokoni, wanasema wao hawauzi simu. Tunaibiwa
hyo bandari haiwez kurud kwa maneno matupu .shika chuma ingia magogoniTunajadili mustakabali wa bandari yetu kwanza, upumbavu wenu wa simu peleka FB
Naitamani hiyo fursa sijui nianzie wapihyo bandari haiwez kurud kwa maneno matupu .shika chuma ingia magogoni
tatizo kaka hamza alishatangulia mbele ya haki.angekuwepo angetueleza wapi zina patikana.MUNGU AMREHEMU.Naitamani hiyo fursa sijui nianzie wapi
Kama simu ni 300,000 sokoni sasa kwanini asiende huko sokoni, hao ndiyo watu ambao hata wakiumwa na mbu usiku wanataka serikali iingilieUmeitwa? Maduka huyaoni? Nyie wanyama mnahitaji viboko vya kichwa.
Kuna yuke alijenga International Airport kijijini kwao, Mungu akamuita chap, sasa yuko anajibi tuhumaHabari ya mjini ni DP world... hiki kibibi kitasusa na kurudi kwao Oman.
Umelazimishwa kukopa auJamani hawa watu wanajiita Watu Credit wanaodhamini mikopo mbalimbali ya simu za mikononi, tunaomba Serikali iingilie kati. Wananchi wanaibiwa sana na kuonewa kiuchumi.
Mtu anakopeshwa simu ya Tsh 300,000/= sokoni, analazimika kulipia zaidi ya milioni kwa mwaka, na usipolipia simu yao wanafunga tena wanajibu kwa jeuri sana.
Simu ya laki 3, riba yao haiongeleki. Serikali watusaidie. Ukiwaambia gharama halisi za simu sokoni, wanasema wao hawauzi simu. Tunaibiwa
Mtafte abihud na mjahidNaitamani hiyo fursa sijui nianzie wapi
MakofiNa makwenzi