Watu Credit na mikopo ya Simu

Wametaka wenyewe kukopa.eti kila siku elfu moja.ukizidisha Mara 365 (mwaka)unapata 365000,haya jumlisha na kianzio ulichotoa Ina maana inafika hata laki 5.
Mara Mia ninunue kiswaswadu kuliko uzuzu huu
 
Kwani wanawalazimisha kukopa hizo simu? Au ndiyo yale yale ya Bayport/Platinum/Letshego, na baadhi ya watumishi wa umma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…