PreGE2025 Watu duni wenye uwezo mdogo na Wasio na Ushawishi wowote hawataweza kuzima hoja Kabambe za Askofu Gwajima

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
143,138
Reaction score
288,731
Tunafahamu kwamba ili upate uteuzi kwa serikali ya CCM unapaswa kujipendekeza kwa kiwango cha kutia aibu bila kujali namna utakavyodhalilisha familia yako, Yaani ili Mamlaka ya Uteuzi ikuone unafaa unapaswa kudhalilika kwanza kwa kupinga hata Ukweli.

Mifano ni Mingi, Jerry Silaa alipata Uwaziri baada ya kupambana kwa udi na Uvumba kushambulia waliokataa Bandari kuuzwa, Nani amesahau hili?

Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka

Ndio maana mnaona hawa mamluki wasio na ushawishi wowote wanajitokeza kupinga hoja za Gwajima, Si kwamba hawajui kuhusu Utekaji, La hasha, bali wanafahamu kwamba kujitokeza kwao kwaweza kuwapa Uteuzi.

Sasa tunawaomba wale wanaotaka kuteuliwa kwa kutumia hoja hii ya Utekaji wawe angalau na uwezo wa kujenga hoja, vinginevyo waweza kusababisha Aibu zaidi.
 
Tunafahamu kwamba ili upate uteuzi kwa serikali ya CCM unapaswa kujipendekeza kwa kiwango cha kutia aibu bila kujali namna utakavyodhalilisha familia yako, Yaani ili Mamlaka ya Uteuzi ikuone unafaa unapaswa kudhalilika kwanza kwa kupinga hata Ukweli.

Mifano ni Mingi, Jerry Silaa alipata Uwaziri baada ya kupambana kwa udi na Uvumba kushambulia waliokataa Bandari kuuzwa, Nani amesahau hili?

Ndio maana mnaona hawa mamluki wasio na ushawishi wowote wanajitokeza kupinga hoja za Gwajima, Si kwamba hawajui kuhusu Utekaji, La hasha, bali wanafahamu kwamba kujitokeza kwao kwaweza kuwapa Uteuzi.

Sasa tunawaomba wale wanaotaka kuteuliwa kwa kutumia hoja hii ya Utekaji wawe angalau na uwezo wa kujenga hoja, vinginevyo waweza kusababisha Aibu zaidi.
Erythrocyte niongeze na kurekebisha kidogo. It is not a matter of kuwa na ushawishi, it is a matter of telling the naked, reasoned, logical, intuitive truth!

Ukisema 1+1=2 katika natural mathematics, hapa hakuna ushawishi ni scientific truth! Press ya gwajima ilikuwa hivyo.
Logical: If A=B=C, logically A=C. Hii haina ushawishi, ni logical, naked intuitive truth!
 
Hakika
 
Sasa muhenga tumlaumu Gen Mabeyo au inakuaje hapo.

Ivi itakua jeshi lili miscalculated au uzalendo wao ulizidi sana kuliko kuupima uhalisia?.

Kwanini Dg Diwani alikua wa kwanza kuliwa kichwa?. Inawezekana ilitoa brief ya uhakika kabisa kwamba she is not the right one?. Kwanini alikataa ubalozi?. Je! Hakutaka kabisa kufanya nae kazi?

Leo nimeielewa kuwa TISS Iko imara na haina miemko. Sasa TISS, wameongea je wambura ataamua nini juu ya watu wake.

Vipi jeshi linaweza kushinikiza mabadiliko?, au Mi wanaweza kubaliana na TISS mchezo umalizike na scandlestin operation?.

Hakika watu wameuchoka ujinga huu. Tusubiri tuone maana mchezo ndio unataka kuanza.

Mzee mzima anasukuma kete zake kwa ustadi.
Daàaah
 
Back
Top Bottom