Wamekuibia nini
Wakinga pesa zao wanalalia kama godoro!! Enjoyment ya mkinga ni kushika pesa!!Ah ah ah ah ah bar huwa kunatifuka
Muhaya akilewa
Mnyakyusa akilewa
Mchaga akilewa
Msukuma akilewa
Na wote wawepo sehem moja daah n.balaa kuzima watu kupo
Ila hv wakinga pesa zao wanatumiaga wapi,maana.siwaelewagi kabisa
Wanasema
Human
Work+eat+sleep+enjoy
Donkeys
Wort+eat+sleep
So
Human=donkey+enjoy
Human-enjoy=donkey
Mtu anaefanya kaz kwa nguvy bila kuenjoy maisha n sawa na punda tuu
kwahiyo mkeo ndo kielelezo cha wachagga wote?Nimeoa Mrombo!
Ukienda bar ukawakuta wachaga na wasukuma washamba ujue unaweza kuishia kuwa na stress za kufa mtu!
Wachaga watakuwa wanapiga makelele na kujisifu kuwa wana pesa wakati wasukuma nao watakuwa wanapiga makelele na kuimba kwa nguvu kuwa ni vidume na wana pesa za kununua bar!
Kwa kweli watu hawa wananiharibia evening yangu!
Ha ha ha hawa jiran zangu hawa.naoWakinga pesa zao wanalalia kama godoro!! Enjoyment ya mkinga ni kushika pesa!!
Aapane likhee hai???Yele zindagi jagena ek na dil zaniya
Dilse kya na gal hapne jayegaAapane likhee hai???
Ww endelea kutoa hizo kashfa utakuja uvune unachopanda!Unataka kujua ikusaidie nini?
Ww endelea kutoa hizo kashfa utakuja uvune unachopanda!
Wewe mngese sana.....kila mtu anaushamba wake...........kwani ni lazima tu uende kwenye hiyo bar?..... Au mtaani kwenu kuna bar moja kiasi kwamba unashindwa kuwaepuka hao wapiga kelele?.........Hasa nyie wa Simiyu badala ya kuongea kwa ustaarabu mnaanza kuimba hovyo!!
Nisubiri hapo hapoWewe acha kutisha watu! Narudia tena, Wachaga ni wezi! Haya mwenye nguvu anifate sasa...
Sitakosea kuwa wewe ni mmoja wao! Bar zipo nyingi na washamba kama wewe mpo wengi mmetapakaa kila sehemu!!Wewe mngese sana.....kila mtu anaushamba wake...........kwani ni lazima tu uende kwenye hiyo bar?..... Au mtaani kwenu kuna bar moja kiasi kwamba unashindwa kuwaepuka hao wapiga kelele?.........