Watu gani unaweza kuwavumilia? Wachaga washamba au Wasukuma washamba?

Watu gani unaweza kuwavumilia? Wachaga washamba au Wasukuma washamba?

Ah ah ah ah ah bar huwa kunatifuka
Muhaya akilewa
Mnyakyusa akilewa
Mchaga akilewa
Msukuma akilewa

Na wote wawepo sehem moja daah n.balaa kuzima watu kupo

Ila hv wakinga pesa zao wanatumiaga wapi,maana.siwaelewagi kabisa

Wanasema
Human
Work+eat+sleep+enjoy

Donkeys
Wort+eat+sleep

So
Human=donkey+enjoy

Human-enjoy=donkey

Mtu anaefanya kaz kwa nguvy bila kuenjoy maisha n sawa na punda tuu
 
Wakinga pesa zao wanalalia kama godoro!! Enjoyment ya mkinga ni kushika pesa!!
 
Ukienda bar ukawakuta wachaga na wasukuma washamba ujue unaweza kuishia kuwa na stress za kufa mtu!

Wachaga watakuwa wanapiga makelele na kujisifu kuwa wana pesa wakati wasukuma nao watakuwa wanapiga makelele na kuimba kwa nguvu kuwa ni vidume na wana pesa za kununua bar!

Kwa kweli watu hawa wananiharibia evening yangu!

Mbona kama hakuna tofauti kwenye hizo vurugu zao kiasi kwamba ukabila haonekani hapo.
 
Wakinga pesa zao wanalalia kama godoro!! Enjoyment ya mkinga ni kushika pesa!!
Ha ha ha hawa jiran zangu hawa.nao

Ila miaka.kidogo hamsha,hamsha zipo,hawa walikuwa wabahili sana

Nwdays ktk tz nzima bata zinalika km kawa ila wachaga nawapa salute

Iwe harusi au msiba hakuna.tofaut,n sherehe tuu
 
From Chato
1480330824981.jpg
 
Kama hupendi kelele nunua zako unywe nyumbani peke yako.........
 
Hasa nyie wa Simiyu badala ya kuongea kwa ustaarabu mnaanza kuimba hovyo!!
Wewe mngese sana.....kila mtu anaushamba wake...........kwani ni lazima tu uende kwenye hiyo bar?..... Au mtaani kwenu kuna bar moja kiasi kwamba unashindwa kuwaepuka hao wapiga kelele?.........
 
Chagga king, ni haki yako kuwatetea wananchi walio kwenye himaya yako
 
Wewe mngese sana.....kila mtu anaushamba wake...........kwani ni lazima tu uende kwenye hiyo bar?..... Au mtaani kwenu kuna bar moja kiasi kwamba unashindwa kuwaepuka hao wapiga kelele?.........
Sitakosea kuwa wewe ni mmoja wao! Bar zipo nyingi na washamba kama wewe mpo wengi mmetapakaa kila sehemu!!

Kuweni wastaarabu kidogo watu tunakwenda bar kuburudika na kuongea siyo kupayuka!!
 
Back
Top Bottom