Capslock
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 3,089
- 4,816
[emoji23] [emoji23]Sitakosea kuwa wewe ni mmoja wao! Bar zipo nyingi na washamba kama wewe mpo wengi mmetapakaa kila sehemu!!
Kuweni wastaarabu kidogo watu tunakwenda bar kuburudika na kuongea siyo kupayuka!!
Mkuu umenifurahisha......lakini hata watu wa ileje nimekaa nao na wenyewe ni washamba tu