Watu hamjanielewa naposema "Mwanamke ni chombo Cha Starehe" Sasa nieleweke hivi !!.

Umeielezea Kwa ufupi na Kwa maana kubwa !!.

Pamoja mkuu
 
Tazama Mwanzo 29:15--20 ,Yakobo, huyu yeye alipomuona Rahel, Maandiko yanasema ,Rahel alikua mzuri wa umbo na mzuri wa sura ( hapa Wanawake muelewe hili, liko wazi mnapishana uzuri Hata kama mnasemaga Et óhooo wote tumeumbwa na Mungu)
Unapotosha maandiko, ukisoma Mithali 31 Inaongelea sifa za mke mwema. Zinaongelea zaidi uchapa kazi Wala sio ngono sijui kwanini umechagua kastori kamoja kujustify hoja yako.
Navyosema Mwanamke ni Chombo Cha Starehe , maana yangu ni hivi...
Chombo cha starehe ni hao wanaojiuza sio mwanamke anayejitambua. Mwanamke ana thamani kuanzia malezi ya mtoto, kumsupoort mme wake, kufanya kazi whether za kiuchumi/ajira au nyumbani na sio ngono pekee otherwise hakuna haja ya kuoa.
Tabia zako za uhuni usi generalise kwa Kila mtu, kwamba sisi wote tuki approach wanawake ni sababu ya ngono? Wengine Wana approach wadada hata kwa muonekano hawavutii unadhana wamefuata ngono pale? Wengine wameapproach wanawake sababu ni Wachapa kazi, Wana adabu, Wana jitoa Nyumba za ibada, Wana jali n.k sio ngono..... Ndoa ni zaidi ya ngono kijana.
Tunatoa Mahari Kwa sababu una umbo zuri na sura nzuri ,unautii, unaheshima kwahiyo wewe unafaa kua Chombo Cha Kutoa Starehe Kwa Mume wako .
Kama Mzee wako angeoa kwa vigezo hivyo angedumu na mama Yako? unaoa mwanamke kujenga familia imara sio ngono pekee. Maana kama ni ngono why utoe mahari wakati Kuna madada poa ambao ni mafundi haswaa so ni chombo Cha starehe kuliko uoe gogo asiyeweza hata kukata mauno??

Man up
 
Weee acha ujinga,

Mithali inamuelezea mwanamke katika Kona ya usaidizi wa mwanaume.

Je Maandiki yaliyosema ,Kila mwanaume na awe na mwanamke wake, msinyamaneee ?. ... Hapa ilikusudiwa nn kama sio Ngono??.


Wewe kulea watoto, familia ..hizo ni shughuli za Kisaidiz alizopewa Mwanamke , kama ambavyo Sisi wanaume tumeambiwa KULA KWA JASHO.


Wee banaz usiongee mambo ya kusadikika, Mwanamke mwenyewe, hata awe mchapakazi, kama hajionii mwenye kuvutia na hatongozwi, huwa hajionii mwenye Thaman, lengo la kutongoza mwanamke, sio kazi zake Wala uadilifu wake,, lengo kubwa linabaki KULA MZIGO NGONO. ... Nyinyi ndo wale mnaoa mwanamke kisa anakazi akusaidoe Maisha 🤣🤣🤣 .


Kwahiyo kisa Kuna Madada poaz ndo usioe?. Kuoa unaoa mwanamke wako uloona huyuuu anafaa kunia starehe
 
Wanawake wale wa zaman walio kuwa wanakeketwa ndio walikua kama vyombe vya starehe,hawa wa sasa mkuu sisi ndio tumegeuka vyombo vya starehe kwan huoni biashara ya mkongo na dawa za kuongeza nguvu za kiume zinavyoongezeka ili tu tuwaridhishe???
 
Ni ukweli hata mama yangu ni chombo cha starehe cha baba yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…