Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Yaani mpwayungu village anatamani kuwa chombo cha starehe ?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeielezea Kwa ufupi na Kwa maana kubwa !!.Em tupunguze emotion kwenye fact.. mama zetu nao ni wanawake.. HIZI SIO KEJELI KWAO.. NI HESHIMA KWAO.. NDIPO ILIPO NGUVU YAO.
Ukiplay vizuri kumstarehesha Mumeo kwenye hayo majukumu aliyoyataja hapo juu, utakuwa mke mwenye nguvu. Hivyo hivyo kwa mama zetu.
Kama walidumu katika ndoa na kutuzaa basi walijitambua kuwa wao wapo kwaajili ya kuwastarehesha baba zetu.
Kama waliachika, yawezekana hawakujitambua kuwa wapo kwaajili ya kwaajili ya kwastarehesha baba zetu.
🤣🤣🤣🤣Yaani mpwayungu village anatamani kuwa chombo cha starehe ?...
NdioooKazi kweli kweli...
Unapotosha maandiko, ukisoma Mithali 31 Inaongelea sifa za mke mwema. Zinaongelea zaidi uchapa kazi Wala sio ngono sijui kwanini umechagua kastori kamoja kujustify hoja yako.Tazama Mwanzo 29:15--20 ,Yakobo, huyu yeye alipomuona Rahel, Maandiko yanasema ,Rahel alikua mzuri wa umbo na mzuri wa sura ( hapa Wanawake muelewe hili, liko wazi mnapishana uzuri Hata kama mnasemaga Et óhooo wote tumeumbwa na Mungu)
Chombo cha starehe ni hao wanaojiuza sio mwanamke anayejitambua. Mwanamke ana thamani kuanzia malezi ya mtoto, kumsupoort mme wake, kufanya kazi whether za kiuchumi/ajira au nyumbani na sio ngono pekee otherwise hakuna haja ya kuoa.Navyosema Mwanamke ni Chombo Cha Starehe , maana yangu ni hivi...
Tabia zako za uhuni usi generalise kwa Kila mtu, kwamba sisi wote tuki approach wanawake ni sababu ya ngono? Wengine Wana approach wadada hata kwa muonekano hawavutii unadhana wamefuata ngono pale? Wengine wameapproach wanawake sababu ni Wachapa kazi, Wana adabu, Wana jitoa Nyumba za ibada, Wana jali n.k sio ngono..... Ndoa ni zaidi ya ngono kijana.Tuje kwenye uhalisia wa Sasa .. Mfano Mimi.. nimemuona Mwanamke mwenye kunivutis, chakwanza nachowaza ni Kumla mbususu, siwazi habari za kazi Wala nn Cha mwanamke, niliona Amejaa Tako, Mahips, mzuri wa sura ,aaahhh nachowaza juu yake ni kumuweka kitandan
Kama Mzee wako angeoa kwa vigezo hivyo angedumu na mama Yako? unaoa mwanamke kujenga familia imara sio ngono pekee. Maana kama ni ngono why utoe mahari wakati Kuna madada poa ambao ni mafundi haswaa so ni chombo Cha starehe kuliko uoe gogo asiyeweza hata kukata mauno??Tunatoa Mahari Kwa sababu una umbo zuri na sura nzuri ,unautii, unaheshima kwahiyo wewe unafaa kua Chombo Cha Kutoa Starehe Kwa Mume wako .
Weee acha ujinga,Unapotosha maandiko, ukisoma Mithali 31 Inaongelea sifa za mke mwema. Zinaongelea zaidi uchapa kazi Wala sio ngono sijui kwanini umechagua kastori kamoja kujustify hoja yako.
Chombo cha starehe ni hao wanaojiuza sio mwanamke anayejitambua. Mwanamke ana thamani kuanzia malezi ya mtoto, kumsupoort mme wake, kufanya kazi whether za kiuchumi/ajira au nyumbani na sio ngono pekee otherwise hakuna haja ya kuoa.
Tabia zako za uhuni usi generalise kwa Kila mtu, kwamba sisi wote tuki approach wanawake ni sababu ya ngono? Wengine Wana approach wadada hata kwa muonekano hawavutii unadhana wamefuata ngono pale? Wengine wameapproach wanawake sababu ni Wachapa kazi, Wana adabu, Wana jitoa Nyumba za ibada, Wana jali n.k sio ngono..... Ndoa ni zaidi ya ngono kijana.
Kama Mzee wako angeoa kwa vigezo hivyo angedumu na mama Yako? unaoa mwanamke kujenga familia imara sio ngono pekee. Maana kama ni ngono why utoe mahari wakati Kuna madada poa ambao ni mafundi haswaa so ni chombo Cha starehe kuliko uoe gogo asiyeweza hata kukata mauno??
Man up
Ni ukweli hata mama yangu ni chombo cha starehe cha baba yanguNinaposema Mwanamke ni chombo Cha starehe, sikua na maana kwamba Sasa mtoto wakike asipelekwe Shule akapata Elimu, au asifanye kazi ,au asiwe na uchumi wake binafsi ,binafsi ninapinga unyanyasaji wowote ule uliokinyume na Mwanadam Kwa kigezo Cha Jinsia , Huwezi Kukaa umpige marungu na vipigo vikali sana mwanamke kisa tu ni mwanamke !!.
Navyosema Mwanamke ni Chombo Cha Starehe , maana yangu ni hivi...
Tukianza na Biblia... Kwenye Biblia Kuna Visa vingi sana ambavyo vinaweka wazi suala hili...
Kitabu Cha Mwanzo... Utaona Adam, Kwa upweke , Mungu anamoa wakufanana naye ,msaidizi..... Na hakika anapewa... Tafasiri yake, ni kwamba " Mwanamke ameumbwa Kwa ajili ya Mwanaume , na ameumbwa kuja kua msaidizi ,mtoani Faraja , mtoa Raha Kwa Mwanaume na Kwa ujumla wake ni kaumbwa kuja kua Starehe ya Mwanaume .
Tazama Mwanzo 29:15--20 ,Yakobo, huyu yeye alipomuona Rahel, Maandiko yanasema ,Rahel alikua mzuri wa umbo na mzuri wa sura ( hapa Wanawake muelewe hili, liko wazi mnapishana uzuri Hata kama mnasemaga Et óhooo wote tumeumbwa na Mungu) , Kwa sababu ya uzuri wa sura na umbo, Yakobo anakubali kua kijakazi wa Laban miaka 7, baadae Laban anamwambia siwez odhesha Rahel Binti Mdogo,kabla ya Dada yake Lea, kitu kinachofanya Yakobo, awe Tena kijakazi Kwa miaka kingine 7 na hatimaye Yakobo anajibebea Wanawake zake wawili.
Sasa tuje Kwa Ndugu zetu waislam,. Hivi mnawajua wa mabinti wa kiislam, walivyo wasafi nawenye kujipamba nakupambika?? Ni Kwa sababu dini yao imewafunza hivo kwamba wanatakiwa wawavutie wanaume Kwa mionekano yao sio kazi Wala Elimu ... Hiii inamaana gan?.... Tunarudi palepale kua mwanamke ni chombo Cha starehe kazi yake kumburudisha mwanaume kuanzia machoni mpaka kitandan.
Sasa tuanzia Adam, Yakobo ,na wengine Njoo mpaka kwenye Quran, utaona kote ,mwanamke kaumbwa kumpa Raha Mwanaume, ndio !!.
Tuje kwenye uhalisia wa Sasa .. Mfano Mimi.. nimemuona Mwanamke mwenye kunivutis, chakwanza nachowaza ni Kumla mbususu, siwazi habari za kazi Wala nn Cha mwanamke, niliona Amejaa Tako, Mahips, mzuri wa sura ,aaahhh nachowaza juu yake ni kumuweka kitandan ( na hii Kwa wanaume wote tuko hivi) na bahati nzuri na Wanawake wanaelewa, anapotongozwa anajua hapa Jamaa anataka Mzigo, na sansana atachofanya yeye ni kukutafutia sababu ya wewe kula Mzigo.
Kwa muktadha huo, Mwanamke ni chombo Cha Starehe ambacho kinatakiwa kiwe na sifa hizi..
Kwanza , Chombo Cha Starehe ni lazima kisiwe kero
Pili, Chombo Cha Starehe ni lazima kimtii Mwanaume wake.
Tatu, Chombo Cha Starehe ni lazima kumuheshim mwanaume wake.
Nne, Chombo Cha Starehe ni lazima kiwe kizuri machoni mwa mwanaume wake .
Tano, Chombo Cha Starehe ni lazima kijikubali kua ni chombo Cha starehe Kwa Mwanaume wake.
Mwanaume anapoamua kutoa Mahari, hatutoi Mahari kwasababu Una wewe mwanamke ni una Elimu au uchumi au vipi...
Tunatoa Mahari Kwa sababu una umbo zuri na sura nzuri ,unautii, unaheshima kwahiyo wewe unafaa kua Chombo Cha Kutoa Starehe Kwa Mume wako .
Hili jambo lieweke hivohivo, wewe Mwanamke uwe ni mtetezi wa haki za wanawakez uwe na PhD ,uwe una kazi ambazo ni za kiume ,Ujasiri , uwe na Pesa au lah, vyovyote vile uwavyo, jambo pekee lawewe kuweka kichwan ni ujitambue kua weee ni chombo Cha starehe kwa Mwanaume wako.
Nitawaacha na swali, Kwanini wanaume wanaoa Wanawake wenye viashiria vya tabia za kimalaya????.