Watu hatari zaidi tusiowajua ni Wanasiasa

Watu hatari zaidi tusiowajua ni Wanasiasa

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Watu hatari zaidi tusio wajua ni "wanasiasa"

Wana urafiki wa kinafiki. Hawa ni watu hatari zaidi duniani!

Huleta vita duniani. Hutengeneza chuki, uhasama kwa jamii na jamii.

Huwatenganisha watu na jamii. Huchafua watu waonekane wabaya.

Bora mchawi kuliko mwanasiasa. Mchawi hawezi kukologa mpaka umkosee au apate sababu!

Mwanasiasa atakufuatlia hata kama hujamkosea. Mwanasiasa akijenga hofu kwako, hata wewe bila kujijua atakuangamiza.

Maisha ya wanasisiasa ni uadui zaidi. Wanasiasa wana urafiki wa kinafiki.
 
Back
Top Bottom