Watu hawa ni hatari kwa mkeo/ mchumba/ girl friend

Watu hawa ni hatari kwa mkeo/ mchumba/ girl friend

Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.
Bujubuji, umewasahau mafundi cherehani na wauza urembo (machinga)
 
Bebii umenishtua bana.. Maana nyumba yangu ndogo kila nikienda nakaangiwa maini, nikiuliza vipi naambiwa muuza bucha ametoa bonasi!!!!!!
Unamegewa nyumba yako ndogo...
 
Halafu kuna zile njemba zinazohudumia internet cafe,hazifai! Na yale ma-ac yanawavyowang'arisha
 
Kweli kabisa, juzi kati pale Samora mama mmoja kavaa baibui nyeusi alikuwa anapakwa rangi ya miguu,mara mie nimepark just near Sapna, akaanza kumwambia mpaka rangi acha tabia zako hujui huu mwezi mtukufu, mama akaendelea kusema mm mteja wako ila unachungulia sana kijana, ebu koma, kijana anazidi kumsifia, eeehh mama kamwambia mwezi huu sitaki maneno yako na huwa anampaka rangi bure, wanajuana sana, ina maana mwezi huu ndio kikwazo, najiuliza, ingekuwa ni giza ucku hivi angempa tu
 
Mpaka rangi,
Mzaire wa saluni,
taxi driver,
muuza genge,
muuza chips,
mwalimu wa mazoezi
yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa mabinti.

Ha ha haaa, umemsahau dalali
 
Hawana hatari yoyote. Mnataka hizo huduma tuzipate wapi?
 
Back
Top Bottom