Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Ikitokea ghafla unakuta watu hawa wanapambana mtaani. Bila kujua chanzo cha ugomvi ni nini. Je utamsaidia nani?
1. Traffic vs Dereva yeyote yule
2. Traffic vs Mwanajeshi
3. Traffic vs Raia yeyote yule
4. Traffic vs Askari
5. Askari vs Mwanajeshi
6. Askari vs Raia yeyote
7. Askari vs Mwanajeshi
8. Dereva Boda Vs Dereva Gari
9. Dereva Lorry vs Dereva Gari Dogo
10. Dereva vs Raia tu
Na mipambano mingine mbalimbali ya watu wa kada mbalimbali. Nimeuliza hivi kutokana na jamaa yangu mmoja kuapa akija kuta Traffic anagombana na Simba atamsaidia Simba.
Mwingine anasema anawachukia Askari kiasi ikija tokea Askari ana ugomvi na baba ya (Shetani anasema ndo baba wa asilimia kubwa ya askari) atasaidiana na Shetani kumshinda Askari.