Tetesi: Watu hawa wanahusika na mauwaji ya maelfu ya Watanzania

Course Coordinator1

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2025
Posts
857
Reaction score
2,341
Bila kupepesa macho si chini ya Watanzania elfu mbili waliouwawa kwa risasi za moto na pamoja na mateso juu. Baadhi walipigwa na kuvunjwa miguu, mikono, mbavu na hata mikono.

Ghasia haikuwa shida , shida ilikua ni jinsi ya kuzuia ghasia hizo, mfano ikiwa kwa sasa kuna mamia ya watu wanashitakiwa kwa uhalifu na ,kupewa kesi za uhaini ,ugaidi au unyanyang'anyi wa kutumia silaha basi hata walio kufa walitakiwa waishi vilevile wakapelekwa kwenye vyombo vya sheria.

Kupiga watu na kuuwa kwa kisingizio cha kulinda Amani fake ilikua ni kosa kubwa pia. AMANI HAILINDWI KWA NCHA YA UPANGA. Kutokana na mauwaji yaliyofanyika watu hawa watakua wanahusika na amri ya kuua ndugu zetu.
1. Rais Samia Suluhu Hassan
Huyu ndo Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, wakati wa ghasia hutangaza amri ya hatari ikiwemo ya kutotoka nje, turejee kauli zake wakati wa kampeni alivyokua anajimwamba fai kuwa Yeye ndo Amiri Jeshi Mkuu alikua anamaanisha kuwa atakayeleta fyoko fyoko afyokolewe (auwawe).

2. Jakaya Mrisho Kikwete
Bila shaka huyu ana udhibiti wa kisiasa kwa Samia Suluhu Hassan, rejea kauli ya Samia kumuita Boss wake, Magufuli alivyoingia madarakani alimnyoosha kweli kweli, Magufuli hakutaka hata kumsikia Kikwete kwa sababu ya uswahili wake, hivo kifo cha Magufuli kilimfurahisha ana Kikwete akaanza kurudi taratibu kwenye siasa kuanzia Siasa hadi Biashara zake za kifisadi, akina Lugumi wakaanza kurudi, Mama Kizigha akaanza kurudi na GSM pia. Inasemekana mchongo wote wa kupotea Polepole anahusika kwa kushirikiana na Abdul.

3. Abdul Hafidh Ameir
Huyu ni mtoto wa kiume wa Samia Suluhu Hassan amekua anatajwa kuwa na ushawishi katika Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Shemeji yake Mchengerwa pamoja na Afande Awadhi mkuu wa Operation wa Jeshi la Polisi bila kumsahau Mafwele na Muliro, Abdul amekua sponsor wa watu kutekwa akianza na akina Sativa, Mdude, na Polepole.
Kumbuka Polepole alimtaja kuwa anamiliki kikosi cha utekaji kule Osterbay.

4. Paul Makonda Bashite
Kila mtu anajua kuwa huyu mtu ni muuaji , alifanya majaribio kadhaa ya utekaji kipindi cha Magufuli ikiwemo jaribio la kumteka Roma Mkatoliki, Mo Dewji pamoja na jaribio la kumuua Lissu pale Dodoma. Inasemekana ni mtu wa karibu na Rais Samia, huenda akapewa wadhifa mkubwa Serikalini kwa kufanikisha mauwaji ya Watanzania kwa kulinda maslahi yao ya kisiasa na kibiashara yey na Mchengerwa.

5. Omar Haji Kheir
Huyu ni mzanzibar na amekua mwanasiasa na kiongozi jeshini kule Zanzibar , ni rafiki wa Samia Suluhu Hassan na ndo aliyewatesa akina Jusaa na Mazrui kule Zanzibar uchaguzi wa 2020 na aliuwa pia, ndo aliye kuwa mkuu wa kikosi cha Mazombi Zanzibar. NI mtu hatari sana.

6. MCHENGERWA
Kila mtu anajua kuwa Mchengerwa ni mkwe wa Rais Samia, amekua anaratibu au kutoa maelekezo ya wabaya wa Samia kushughulikiwa akiwemo Chagula aliyechoma picha ya Rais kule Iringa, inasemekana Yeye na Makonda, pamoja na Abdul huwa wanaratibu nani atekwe , auwawe au ateswe.

7. Awadh , Mafwele na Muliro
Hawa wapo ndani ya jeshi la polisi , wakati wa utelezaji wa kuuwa waandamaji walikimbilia kule Lugalo jeshini baada ya waandamanaji kuchoma nyumba zao na magari. Hivyo Mapolisi walichukua sana wakubwa zao kuchomewa mali zao.

8.Vikosi vya Green Guard vya CCM
Hivi vikosi huongozwa na idara ya vijana ya UVCCM vikipewa support na Usalama wa Taifa, Uvccm hujiona wao ni Usalama wa Taifa, rejea kauli za Makonda za kusema Mwenyekiti anatukanwa UVCCM hawamlindi pia rejea kauli za Kihongosi, Kawaida na yule jamaa wa Bukoba. Inasemekana Green Guard wengi wao huwa wanawachukua Usalama wa Taifa na JKT na inasemekana walipewa bunduk siku ya tarehe 29 na 30 kulinda Mwenyekiti dhidi ya waandamanaji.

Yote kwa Yote lawama za mauaji kwa waandamanaji zinamwangukia Rais Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama.
 
Ongeza Kikosi cha KMKM kutoka Zanzibar
 
Wamekuaje ndugu zangu Waislam? Mbona hao wote ni ndugu zetu Waislam?
Hawa watu ni wakatili muno rejea tawala za akina iddi Amini Dada,mohamed gadafi,sadamu huseini,bashar Aly Asady utapata jawabu
 
Nyumba ya mafwele ilikumbukwa kiberiti?
 
Asilimia kubwa ni Waislam isipokuwa
1.Faustine Jackson Mafwele (Msabato SDA)
2.Paul Christian Makonda (KKKT)
 
Back
Top Bottom