Watu hawa wanaongoza kutumia wataalam (ushirikina) kwa kuamini unafanya mambo yaende vizuri

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
1. Wahalifu - Matapeli, wezi, mapusha, magendo, n.k.



2. wafanyabiashara kwenye masoko


3. Wadangaji

 
1. Wahalifu - Matapeli, wezi, mapusha, magendo, n.k.
2. wafanyabiashara kwenye masoko
3. Wadangaji
Afu wanakuja hapa kusema Mungu hayupo...,Mungu hayupo wakati shetani unaonana nae na kumfuata kilasiku....au shetani/uchawi vyaonekana?
 
Afu wakuja hapa kusema Mungu hayupo...,Mungu hayupo wakati shetani unaonana nae na kumfuata kilasiku....au shetani/uchawi vyaonekana?
chui hahitaji kushindana mbio na mbwa kukuaminisha ana speed kubwa,
 
Dah kumbe wadangaji nao wanatumia nguvu za ziada?

Eeh nafsi yangu kaa mbali na hao viumbe usije shukia kaburi la upotevu
 
Amini unachoamini, tumia wataalam unaowajua,

Lakini ukweli utabaki mafanikio hayana uhakika.

Na asiyenacho atamtumikia mwenye nacho ili agawiwe japo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…