Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Kuna mda mnaibiwa akiliHaujawahi kushikwa na nyege wewe..... kwenye mapenzi ni aidha ule au uliwe kama wote mnapendana sawa kuna tatizo Mahali....
Lazima pawepo na mmoja ambaye hamake-sense...na huyu ndiye huyashikilia mahusiano yasianguke.
Acha basiSipendagi kufatilia mambo ya watu hivyo siwachukulii kivyotevyote wao watajijua wenyewe!
hapo kwenye mahusiano yasioanguke kuna husiano moja hilo lilikuwa lamoto kwenye kulishika likaniunguza nikaungua nikaliachia!,nilitoka nikiwa nimebabuka kama kuku kwaajili yakumtolea manyoya..😂Haujawahi kushikwa na nyege wewe..... kwenye mapenzi ni aidha ule au uliwe kama wote mnapendana sawa kuna tatizo Mahali....
Lazima pawepo na mmoja ambaye hamake-sense...na huyu ndiye huyashikilia mahusiano yasianguke.
Ulikula kula lakini? Au ulikuwa unaonyeshwa mikunjo ya chupi tu?hapo kwenye mahusiano yasioanguke kuna husiano moja hilo lilikuwa lamoto kwenye kulishika likaniunguza nikaungua nikaliachia!,nilitoka nikiwa nimebabuka kama kuku kwaajili yakumtolea manyoya..😂
Samahani Mwanangu weww Ni Jinsia Gani?Mwanamke ambae anakazi ya kuhongo mwanaume akijua kabisa hapendwi na hajawai kula ata mia ya mwanaume huyo kiufupi mwanaume kashamuonesha kuwa hamtaki ila yeye ndio kamganda na kumuonga juu
Huyu mimi namuona mwanamke ambeye hajiamini na muoga wamaisha
mwanaume ambaye anahonga mwanamke uku akijua kabisa kuwa hapendwi na mwanamke kashamfanyia vitimbwi vya kuhudhu lakini bado kamganda ataki kumuachia kiasi kwamba mwanaume ana sahau familia yake au majukumu yake kisa mwanamke
Huyu mimi namuona ni mwanaume mgeni katika mapenzi bado ajakomaa
Ndio 😂Achana na mapenzi si ulihamia kwenye mapishi
Akili zimeanza kuwalukaMwanamke anae honga na mwanaume anae honga ili wapendwe nawachukulia kama wagonjwa wa akili watarajiwa.
Ahahah ulipigwa na nyundo?hapo kwenye mahusiano yasioanguke kuna husiano moja hilo lilikuwa lamoto kwenye kulishika likaniunguza nikaungua nikaliachia!,nilitoka nikiwa nimebabuka kama kuku kwaajili yakumtolea manyoya..😂
Zitawaruka vizuri wakisha sanuka😁Akili zimeanza kuwaluka
Kuna kitu ujaelewa hapo?Samahani Mwanangu weww Ni Jinsia Gani?
Maana Umeeleza Mtu mmoja Kwa Jinsia Mbili tofauti
Ahaha wapo kwenye kipomo cha akiliZitawaruka vizuri wakisha sanuka😁
We kuna kitu kilikukutaMambo yao waachie wenyewe...
Cc chausiku
mimi si mshamba kihivyoUlikula kula lakini? Au ulikuwa unaonyeshwa mikunjo ya chupi tu?