Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 11,191
- 35,870
Ewe mdada, Mwanaume wako atakaye cheat, atacheat kwa sababu yeye ni cheater. Sio kwa sababu eti huwezi kupika, au wewe sio mtaalamu kitandani, au mlikuwa na mtafaruku.
Hakuna kitu ambacho unaweza kufanya kwa njia tofauti ili usiwe muathirika wa mwanaume wako anaye cheat isipokuwa kupata mtu ambaye hapendelei ku-cheat, which is very is rare lakini pia ni possible.
Ewe Mwanaume, Wanawake hucheat kama wanaume wanavyofanya. Ila Wao ni bora katika kuifanya na bora katika kuificha sirini.
Tofauti na wanaume ambao mara nyingi hucheat kwa ajili ya mihemuko na thrill ya ngono, wanawake hucheat kwa connection ya kihisia na pumziko la moyo.
All in All hakuna sababu muhimu itakayo justify cheating/usaliti.
Usaliti ni uchaguzi.