Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 209
- 137
Hili eneo lishaandikwa utani/jokes lakin mtu akituma utani eti unacomment hajielewi.
kama hupendi utani usije huku au tatizo lipo kwenye kuelewa maana ya utani?
utakuta mtu kaandika kichekesho eti bangi hizooo.
au na huo ni utani??
kama hupendi utani usije huku au tatizo lipo kwenye kuelewa maana ya utani?
utakuta mtu kaandika kichekesho eti bangi hizooo.
au na huo ni utani??