Watu hawajielewi yaani

Watu hawajielewi yaani

Hili eneo lishaandikwa utani/jokes lakin mtu akituma utani eti unacomment hajielewi.
kama hupendi utani usije huku au tatizo lipo kwenye kuelewa maana ya utani?


utakuta mtu kaandika kichekesho eti bangi hizooo.
au na huo ni utani??
Acha bangi mkuu
 
Hahaahaa..!! Acheni utani wenye hisia Kali [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
tatizo mkuu wa kaya kabana hata ucheshi watu hawachek wako serious,
 
Back
Top Bottom