Mstaarabu wa ukwee
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 209
- 137
Acha bangi mkuuHili eneo lishaandikwa utani/jokes lakin mtu akituma utani eti unacomment hajielewi.
kama hupendi utani usije huku au tatizo lipo kwenye kuelewa maana ya utani?
utakuta mtu kaandika kichekesho eti bangi hizooo.
au na huo ni utani??
Hahahhahahaha.Acha bangi mkuu
Hahaha Mi mzima nduguHahahhahahaha.
mfano huyu hapa...sidhan kama mzima wewe
Najua ulikuwa unanitania kama mm nilivyokutania kwamba ww si mzimaHahaha Mi mzima ndugu
Nimekuelewa kunzia kwenye madaNajua ulikuwa unanitania kama mm nilivyokutania kwamba ww si mzima
Nadhani nao ni utani [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhahahaha.
mfano huyu hapa...sidhan kama mzima wewe
Unatakiwa ukimshauri mtu kuacha kitu Fulani umpe mbadala wake ..Acha bangi mkuu