Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huko India mtu kauza figo yako moja milioni 20, lakini hapa TZ mtu anatoa moyo wake bure kwa mwanamke lakini bado haridhiki anataka na pesa aende saloon, mbona tunakufa huku tunajiona.
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
Mkuu.....huko India mtu kauza figo yako moja milioni 20, lakini hapa TZ mtu anatoa moyo wake bure kwa mwanamke lakini bado haridhiki anataka na pesa aende saloon, mbona tunakufa huku tunajiona.
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]
[emoji13] [emoji2]sasa kama unatoa moyo lakini bado uko hai kwa nini usiombwe pesa mkuu??