Watu hawasamehi. Kuwa makini

Watu hawasamehi. Kuwa makini

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ni jambo dogo hili ninalokuambia lakini please take care.
Watu hawasamehi, hawasahau kwahiyo kama kuna mtu alikutendea ubaya kuwa naye makini, hajasahau. Ipo siku atatamani akutendee tena ubaya uleule au ubaya mwingine.
Kuhusu kutokusamehe , yes watu hawasamehi, kama ulimfanyia mtu mafisango jipange. Hajakusamehe sema tu hujaingia kwenye 18 zake.
Usiku mwema.
 
20240901_175917.jpg
 
Back
Top Bottom