Watu huja kwako kimkakati,mvuto wako kimuonekano ni ziada tu

Ni kwel,niliwah kupendwa na binti mmoja mzur hatar,kuna wakat nilkuwa najifanya kumzingua ili tuachane lakin binti kakomaa tu,alikuwa ananipenda sana mpaka nikawa nashangaaa

sIku moja ananiambia alizan mim nilkuwa na hela sana(maana hapo kabla nilkuwa nafanya kazi yenye marupurupu mazur),nikamwambia siko na pesa akaniuliza au zipo bank,nikamwambia sina kitu mim,lakin aliendelea kunipenda tu hvyo hvyo
 
Yes alikua na real love na alijitoa kwelikweli sio kama wanawake wengine matapeli wa mapenzi , ndio maana kwa kila Hali alikua na wewe
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…