Hatukustahili kufungwa vile na timu ndogo.UsijisifuKama ambavyo nyie wenyewe mmekiri kwa kumfuta kazi kocha mkuu hasa baada ya mechi na mtani. Kwamba mliona haikustahili nyie kufungwa vile hivyo kocha ameinajisi nguvu moyaa
Kumbe maneno ya jeshi la mtu mmoja semaji la CAF yanawatoaga roho kiasi hicho?Kumbe huwa mnateseka sana!Ndio kitu umeona cha kujifarijia hiki?
Yanga wanafurahi kumfunga simba sababu ya midomo yenu! Mnachongaga sana
Sasa huoni aibu mwenyewe🤣🤣Hatukustahili kufungwa vile na timu ndogo.Usijisifu
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Huu ndiyo ukweli.Atakayeukataa muulize,Simba ameifunga Yanga utopolo magoli 3,4 na hata 5 mara ngapi na hakukuwa na sherehe?Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.
Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.
Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.
Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao.Ni kama wamemuua Goliath.
Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Sherehekeeni maana hamjamfunga KMC.Sasa huoni aibu mwenyewe[emoji1787][emoji1787]
Timu ndogo imeifunga timu ya robofainalist michuano yote, timu mdogo inaongoza ligi dhidi ya litimu likubwa CAF ambalo mpaka sasa halijashida mechi yoyote huko Cafu
Eeeh wacha tusherehekee. Kwani wewe unawashwa wapi?Sherehekeeni maana hamjamfunga KMC.
Hata mkimfunga Ihefu hamuwezi kuwa na furaha kama hii
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.
Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.
Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.
Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao.Ni kama wamemuua Goliath.
Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Tatizo ni kujiona mkubwa wakati bado ni mdogo na unahitaji kukua zaidiTimu kubwa haipanic baada ya kupigwa nyingi, Arsenal alikuwa nane na man United hawakupanic,Madrid alikula tano na Barca Camp Nou na kampa sita moja Bernabeu na hakupanic, Man Utd akapigwa sita moja Old Trafford hawakupanic kama mnavyo panic nyie.
Mara mumtimue kocha,mara viongozi hawafai mara Mo,Wachezaji nao mechi ya Namungo unawaona wamepanic,kwa kifupi bado hamjatulia so nyie bado ni timu ndogo, tumu kubwa hazipanic, kwani zinaamini katika mipango yao.
Kumfunga mtani tano kuna raha yake,Liverpool alivyo mpa saba Man Utd kesho yake zikatoka jezi za saba bila zikionyesha na wafungaji.
Timu kubwa huwaga hazipanic, nyie endeleeni kupaic pamoja na wachezaji wenu muone mtakavyo potea.
Mngewauza na kuwagawia masikini na yatima kama ambavyo huwa mnatafuta huruma ya jamii mara nyingi.Huo ni unafiki.Mna washabiki milioni ngapi hadi supu ya ng'ombe watano jumlisha watano aliotoa yule wa Ng'wanza iwatoshe?Sasa Mtani zile ng'ombe 5 ulitaka tuzifanyeje? 😂
#Wachatunywesupusissi.
Dada mbona unamakasiriko hivyo we chakufanya beba maliomao, chumvi na pilipili wahi jangwani ukwanye supuMngewauza na kuwagawia masikini na yatima kama ambavyo huwa mnatafuta huruma ya jamii mara nyingi.Huo ni unafiki.Mna washabiki milioni ngapi hadi supu ya ng'ombe watano jumlisha watano aliotoa yule wa Ng'wanza iwatoshe?
Mwakarobo mnatabu
Unaweza kumuita baba yako mzazi ambaye ni mumewe wa mama yako "dada"?Ni vema umuandalie bwana yako uji wa ulezi muda huu.Dada mbona unamakasiriko hivyo we chakufanya beba maliomao, chumvi na pilipili wahi jangwani ukwanye supu
Ooh! nisamehe baba lakini mzee fanya na wewe uwahi ukapate supu na finyango tano zilizo nona.Unaweza kumuita baba yako mzazi ambaye ni mumewe wa mama yako "dada"?Ni vema umuandalie bwana yako uji wa ulezi muda huu.