Watu hukiri kwa vitendo: Kumfunga Simba ni kufunga dude kuubwa sana

Sasa huoni aibu mwenyewe[emoji1787][emoji1787]

Timu ndogo imeifunga timu ya robofainalist michuano yote, timu mdogo inaongoza ligi dhidi ya litimu likubwa CAF ambalo mpaka sasa halijashida mechi yoyote huko Cafu
Timu lenye unbeaten 8 kasoro moja dhidi ya YANGA ( DUNDUKA 1 (moya) YANGA 5 (khamsa)) kwenye NBC PL 2023/2024.
 
Dada mimba yako ina miezi mingapi?, Kuna limao hapa tumebakisha tukuletee?. Naona unahangaika Kama kitetea😅
 
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.

Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.

Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.

Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.

Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao. Ni kama wamemuua Goliath.

Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika.
Mna midomo sana ndio maana mkifungwa nchi inafurahi

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.

Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.

Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.

Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.

Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao. Ni kama wamemuua Goliath.

Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika.
jifariji tu...
 
Back
Top Bottom