Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya Lori lenye kontena kuparamia wafanyabiashara

Watu kadhaa wahofiwa kufariki baada ya Lori lenye kontena kuparamia wafanyabiashara

Kuna hizi lori za town trip Kama Madina,zimevamia Sana majumba ya watu hasa maeneo ya ufundi au kisababisha jam barabara ya kilwa miaka ya nyuma.

Hizi gari kama unaendesha gari yako ndogo na unataka kuovertake kuwa makini hasa maeneo ya round about mfano pale uhasibu. Mistake ndogo tu tunatandika turubai na kuimba niagieni.
Hayakaguliwi usalama wake
 
Anjali imetokea wapi , ? Ndo mana mnaambiwa mjenge mbali na barabara mtenganishwe na mitaro , lakn watu hawasikii full kulaumu , walioweka Hz sheria hawakuwa wajinga ,, mjini speed ni 5km/HR Ila watu hawaelewi
 
Aisee uzembe wa watu wachache,unasababisha madhara Kwa watu wengi
 
Back
Top Bottom