Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Miujiza inalipa sana kuliko neno la uzima
Unatoa dhabihu kwa ajili ya nini na kwa mafundisho yapi.... mtoaji haihitaji madhabahu, kutoa ni universal law ukiwa mtoaji utabarikiwa tuu ila usitoe kwa kulazimishwa na kuwekewa kiasi na vitisho.Kuna utofatuti wa kanisa na madhabau .
Kama unahitaji kuwa strong spirituality unbidi kuwa na madhabau yako ambayo unakutana na mamlaka zako za juu .
Unatoa dhabiu yako hapo