Watu kama Mwamposa wanatoa dhabihu na sio sadaka na zaka

Watu kama Mwamposa wanatoa dhabihu na sio sadaka na zaka

Wauzaji wa containers

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
615
Reaction score
1,443
Mambo ya kiroho yanahitaji high commitment wewe na higher power yako.

Mwamposa anatoa dhabihu. Ukiwa mtu wa kujituma, smart na unatoa dhabihu katika mamlaka za juu basi utafanikisha mambo mengi.

Dhabiu ni kiwango cha juu cha sadaka na zaka. Hauwezi kuwa unatoa elfu moja msikitini na kanisani ukawa sawa na mtu aliyejenga kisima cha maji.

Dhabihu ndo alitoa Ibrahimu.
 
Kuna utofatuti wa kanisa na madhabau .

Kama unahitaji kuwa strong spirituality unbidi kuwa na madhabau yako ambayo unakutana na mamlaka zako za juu .

Unatoa dhabiu yako hapo
Unatoa dhabihu kwa ajili ya nini na kwa mafundisho yapi.... mtoaji haihitaji madhabahu, kutoa ni universal law ukiwa mtoaji utabarikiwa tuu ila usitoe kwa kulazimishwa na kuwekewa kiasi na vitisho.
 
Back
Top Bottom