Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Safi sana. Ingawaje imekuwa off targetHii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla.
Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki.
Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
acha kujifariji mjinga weweSasa wahuzunike kwalipi.Kama Wanu na Dullah wangekuwa wanashangilia ningesema kuna kitu hakiko sawa.Huyu babu kwani nani ana mahusiano naye mpaka ukauzunike?
Kwani msiba si sherehe au tamaduni zetu zinatofautiana?
Nijifariji kwa lipi? huyu babu simjui aliyekufa kama ni jamaa yako wahi msibani babu.acha kujifariji mjinga wewe
Picha ni hiiHii ni picha mbaya sana taifa na binadamu kwa ujumla.
Kwamba watu wanapiga ndulu kwa furaha tele kwa kuwa mume wa rais wao kafariki.
Tunapata picha gani hapa? Watu wanalipa kisasi? Wana chuki kwenye mioyo yao? Taifa limepasuka kila kona.
Ilikuwa inatakiwa ipigwe kwenye target yenyeweInaleta taswira kuwa Israel kapiga Shot off Target tusubirie on target soon
Hatimaye tumepata mjane wa Taifa...
Wicknell Chivayo kaisha weka kambi huko kizimkazi…Hatimaye tumepata mjane wa Taifa...