Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Jamaa bonge halichezi mbali na fursa....Wicknell Chivayo kaisha weka kambi huko kizimkazi…
Hatimaye tumepata baba wa kambo wa Taifa....
Jamaa bonge halichezi mbali na fursa....Wicknell Chivayo kaisha weka kambi huko kizimkazi…
Yaani kwamba aje akuulize?kamuulize mama yako
Apumzike kwa amani
Alafu utasikia kua Tanzania hamna uhuru wa maoni..hapo hapo mtu anatoa maoni ya kutweza au kutukana.Rais yupi huyo?
Samia sio rais ni mwenyekiti wa CCM.
Alafu utasikia kua Tanzania hamna uhuru wa maoni..hapo hapo mtu anatoa maoni ya kutweza au kutukana.
We jamaa kumbe upo?Alafu utasikia kua Tanzania hamna uhuru wa maoni..hapo hapo mtu anatoa maoni ya kutweza au kutukana.
Nipo nimejaa tele baada ya kumaliza jambo lenu.Habari za siku ndugu Malunde.We jamaa kumbe upo?
Jambo lipi ulimaliza? Mimi nipo tu Mwanza nalima mpunga.Nipo nimejaa tele baada ya kumaliza jambo lenu.Habari za siku ndugu Malunde.
Hongera ndugu, umelisahau kumbe usijari ila yupo salama tu ChrismasJambo lipi ulimaliza? Mimi nipo tu Mwanza nalima mpunga.