Landala naona umekuja na kasi ya 180 per hour.
Mimi nasema ukweli bana nimeolewa tangu mwaka 1960 hapo ni sawa eehhh
My dear
Inategemea na situation
kuna wengine kweli hawana
na kunawale ambapo wamechoka na ndoa zao
na wengine wamekuona wewe ni mzuri kuliko
Wake/Waumee zao
Hao ndo wale ambao wanavua hata Pete za ndoa ..
Gaga kamata hii kwanzawahuni hao kwan ukisema umeoa au kuolewa inapunguza nini?
Habari ya leo wana jf,mbona wa2 walio kwenye mahusiano huwa hawapendi kusema kweli wakiulizwa?mfano ukikutana na mdada mkawa mnapiga story ukimuuliza vp shem hajambo anakuambia sina pia hata mwanaume akikutana na mdada wakiwa wanabadilishana mawazo akiambiwa msalimie wifi anasema sina.Kwa nini wanaume kwa wanawake huwa hawapendi kusema kweli kama ana m2 au hana?[/QUOM
Unaweza kuwa na mke/mume nyumbani lakini jinsi alivyo ni kama huna mtu.....so,,,,,,so ....sooooo bora useme sina tu!kwa sababu wanawake wengine ni kama vile mtu huna mtu yani!
Aisee ni kweli kabisaKama huoni umuhimu,fahari na faida ya mwenzi wako utamkana.