Watu kusema wameoa au kuolewa.

Watu kusema wameoa au kuolewa.

mnh hata ka nnae nasema sina mana nisije nkapoteza bahati ya kiburudisho buuuuureeeee..................
 
Landala umenikumbusha Facebook karibia kila mtu ukiangalia status ya relationship yake ameweka ITS COMPLICATED kazi kweli kweli

Ajabu! kwanza kama mimi ukinijia hujaoa hata sikutaki nakutoa balu
 
hehehe Maty habari yako binafsi

tatizo my dear wengine pia wanasemaga wameoa/olewa kumbe sio kweli....




unashangaa nini sasa apo Husninyo jamani....we dare to talk openly

mume wa mtu sumu!
 
Ni kweli landala.....na watu wanajaribu kulaumu au kukwepa ukweli ...ukweli ni kwamba kuoa au kuolewa sio mwisho wa mtu kutoka nje ya ndoa ingawa wapo wachache sana huwa hawasaliti ndoa zao na ukiona mtu anakana basi kama ni kijike basi anakitaka kidume na kinyume chake ni sahihi.....







I was born with it and and not without it.
 
Habari ya leo wana jf,mbona wa2 walio kwenye mahusiano huwa hawapendi kusema kweli wakiulizwa?mfano ukikutana na mdada mkawa mnapiga story ukimuuliza vp shem hajambo anakuambia sina pia hata mwanaume akikutana na mdada wakiwa wanabadilishana mawazo akiambiwa msalimie wifi anasema sina.Kwa nini wanaume kwa wanawake huwa hawapendi kusema kweli kama ana m2 au hana?

Aseme ninae wkt hana kweli inamaanisha nini?
 
mwingine kweli hana, sas kwa nini ajipe maujiko wakati kweli hana?
 
mie ninaye na pete sivui, kama tukihamua kuvunja amri tuvunje tuu
 
kama wapo na uhusiano ,,,wanaosema hivyo ni vicheche,, hata kama kuna complication kwenye uhusiano si unasema ukweli...
 
Back
Top Bottom