Watu kusema wameoa au kuolewa.

mnh hata ka nnae nasema sina mana nisije nkapoteza bahati ya kiburudisho buuuuureeeee..................
 
Landala umenikumbusha Facebook karibia kila mtu ukiangalia status ya relationship yake ameweka ITS COMPLICATED kazi kweli kweli

Ajabu! kwanza kama mimi ukinijia hujaoa hata sikutaki nakutoa balu
 
hehehe Maty habari yako binafsi

tatizo my dear wengine pia wanasemaga wameoa/olewa kumbe sio kweli....




unashangaa nini sasa apo Husninyo jamani....we dare to talk openly

mume wa mtu sumu!
 
Ni kweli landala.....na watu wanajaribu kulaumu au kukwepa ukweli ...ukweli ni kwamba kuoa au kuolewa sio mwisho wa mtu kutoka nje ya ndoa ingawa wapo wachache sana huwa hawasaliti ndoa zao na ukiona mtu anakana basi kama ni kijike basi anakitaka kidume na kinyume chake ni sahihi.....







I was born with it and and not without it.
 

Aseme ninae wkt hana kweli inamaanisha nini?
 
mwingine kweli hana, sas kwa nini ajipe maujiko wakati kweli hana?
 
mie ninaye na pete sivui, kama tukihamua kuvunja amri tuvunje tuu
 
kama wapo na uhusiano ,,,wanaosema hivyo ni vicheche,, hata kama kuna complication kwenye uhusiano si unasema ukweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…