Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Halafu wanataka pisi kali, walishindwa wanaishia kutukana mara katumika Sana, kumbe yeye ndiye maji yalio cha-cha

Halafu wanataka pisi kali, walishindwa wanaishia kutukana mara katumika Sana, kumbe yeye ndiye maji yalio cha-cha
Madogo wana matusi sana na wanatukana bila breki, ukienda kule 'X' aka Tweeter ndo unajua tabia halisi za GenZ, humu ndo kile kikundi cha hatuoi
 
Hakuna mwenye huo ujanka ndani ya hii dunia
 
Maulid wa Kitenge mzee wa "minyama" vipi? Kanajitahidi pamoja na kwamba kana zaidi ya miaka 50! Mwenzake Mr. Chumvi anajitutumua lakini uzee umeshamvaa hakuna kificho!
 
Madogo wana matusi sana na wanatukana bila breki, ukienda kule 'X' aka Tweeter ndo unajua tabia halisi za GenZ, humu ndo kile kikundi cha hatuoi
Mie huko wala siingii Tweeter ac ninayo lakini wala naona password karibu naisahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…