spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,915
- 23,531
Ferooz
Na vinyozi wazamani wote ni vampires hawazeeki
Na vinyozi wazamani wote ni vampires hawazeeki
Kajala, ana miaka 48 lakini bado anaonekana kama mwanamke wa miaka 32 hivi....anawashinda hata wazee wenzake kina Wema, Aunty Ezekiel, Monalisa.Leo tuwataje watu maarufu hapa bongo ambao ni kama wamegoma kuzeeka. Yaani wapo vilevile miaka nenda miaka rudi.
Naanza na Blandina Changula maarufu kama Johari.
Huyu tangu tukiwa wadogo yupo hivyohivyo mpaka leo yupo hivyo hivyo.
Tuendelee na list…
Tatizo bado unaangalia video zake za zamani kwani hauna bando tukuunge?Kuna msanii wa USA tangu nakua namuona yuko vile vile..sijui ndo wanamwita Pharel
Kuna Lecturer wangu Dr mmoja yupo CIVE Udom, aisee tangu kanifundisha Bachelor 2007 nimekutana nae January mwaka huu 2025 mwamba yuko vile vile sijui anakula nini, yani mi nimezeeka kuliko Lecturer wangu 🤣🤣🤣
Duuuh mbona wewoooo?? Elomuni parangwi.Pamoja na grid ya taifa lakini bado anaonekana yanki, nafikiri pia zile tizi anazipiga mara kwa mara
Kumbe jamaa anaishi kwa msaada wa token?Pamoja na grid ya taifa lakini bado anaonekana yanki, nafikiri pia zile tizi anazipiga mara kwa mara
70? Yule mdingi wa kijani kagonga 100 na anadunda tu majukwaaniHapo kwenye kuzeeka hakuna fundi ni muda tu ukifika, kuanzia miaka 70 na kuendelea kila kitu kinakuwa wazi.
haha hawa mshangai jayzHapo kwenye kuzeeka hakuna fundi ni muda tu ukifika, kuanzia miaka 70 na kuendelea kila kitu kinakuwa wazi.
Yapi mkuu,!!?Mkuu kalipe kwanza marejesho ya watu
JB ,Ray kigosi,Kajala,jackline wolper.,monalisa,riyama ally,rich mtambalike,aunty ezekieli,rose ndauka
Kwani ray anamiaka mingapiUshawahi kuwaona live? Kwa Umri wao hauwezi kuwaita WAZEE hao!! Uzeee unaanzia miaka 65 huko na kuendelea.
Kwani ray anamiaka mingapi