Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Kuna msanii wa USA tangu nakua namuona yuko vile vile..sijui ndo wanamwita Pharel
 
Kajala, ana miaka 48 lakini bado anaonekana kama mwanamke wa miaka 32 hivi....anawashinda hata wazee wenzake kina Wema, Aunty Ezekiel, Monalisa.
 
Kuna Lecturer wangu Dr mmoja yupo CIVE Udom, aisee tangu kanifundisha Bachelor 2007 nimekutana nae January mwaka huu 2025 mwamba yuko vile vile sijui anakula nini, yani mi nimezeeka kuliko Lecturer wangu 🤣🤣🤣

Dr. Ishengoma huyo, mzungu wa roho ndo maana hazeeki
 
Kuna jamaa anaitwa Lionel lichie huyu sio kagoma kuzeeka bali kakataa,halafu pia kuna Roga Roga yule wa extra musica nae sio kagoma kuzeeka bali kakataa
 
JB ,Ray kigosi,Kajala,jackline wolper.,monalisa,riyama ally,rich mtambalike,aunty ezekieli,rose ndauka
 
JB ,Ray kigosi,Kajala,jackline wolper.,monalisa,riyama ally,rich mtambalike,aunty ezekieli,rose ndauka

Ushawahi kuwaona live? Kwa Umri wao hauwezi kuwaita WAZEE hao!! Uzeee unaanzia miaka 65 huko na kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…