Watu maarufu ambao wamegoma kuzeeka

Wazee hapa unaongele wenye miaka mingapi?

Jenerari Ulimwengu au Lulu Kanumba?

Prof Tibaijuka au Mwigulu Nchemba?

Prof Kabudi au Wakili Msomi Kibatala?
 
Mtoe kwenye hilo kundi uzee unaonekana kabisa tafuta picha yake muangalie shingo
hapana Kikwete anajiachia aonekabe babu sababu yeye si ndiye kama baba wa taifa kwa sasa, lakini akiamua aende saloon alafu akutane na wale wa dada wanaojua kutengeneza , mbona ataonekana kijana.
 
Walimu wangu wa shule ya msingi. Yaani kila ninapoonana nao, nawaona wapo vile vile tu..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…