Will Smith ni Mtanzania mbona, Kazaliwa Mara kasomea Tarime, chuo akaenda SUA ndo akapata shavu la kwenda USA mpaka leo we kengeKweli we Kenge, mleta thread kasema celebrities wa hapa Bongo sio huko USA
So umri wa@Madame b unaujua!Umri wa Dully na uhakika hampishani sana,
Hapo sawa, sema labda anajipenda penda ndio maana anaonekana bado sio mkubwa kiumri45 of age
Sema ananyoa ndevu, ila ana mvi kibaoHapo sawa, sema labda anajipenda penda ndio maana anaonekana bado sio mkubwa kiumri
Kumbe.Sema ananyoa ndevu, ila ana mvi kibao
Duly Sykes mtoto wake wa kwanza alifariki 2000, mtoto wa pili kazaliwa 2003(22), wa pili 2005(20),watatu 2007(18)Kumbe.
Basi vyema umenijuza, mie nikajua anacheza kwenye 30+🫠
Ha ha hapo umepigaje braza Kenge? Hakika mwamba amegoma kuzeeka, hata yuke Morgan Freeman miaka mingi namuona vilevileWill Smith ni Mtanzania mbona, Kazaliwa Mara kasomea Tarime, chuo akaenda SUA ndo akapata shavu la kwenda USA mpaka leo we kenge
Aisee.Duly Sykes mtoto wake wa kwanza alifariki 2000, mtoto wa pili kazaliwa 2003(22), wa pili 2005(20),watatu 2007(18)
Jamaa ana 50+
View attachment 3283249
miaka 70 ndio uzeea unaanza mkuu wangu, sio huu umri wa miaka 30 hadi 50 tunaitana wazee. Sasa ukigonga 60 sijui utaitwa nani kama tu 40 mtu unaitwa mzee inakera sana. Tuliitana wazee tukiwa primary na secondary, unasikia naitwa mzee LOTH HEMA leta story za Animals farm, halafu sina huo uzee ilikuwa sawa tuHapo kwenye kuzeeka hakuna fundi ni muda tu ukifika, kuanzia miaka 70 na kuendelea kila kitu kinakuwa wazi.
Nafikiri wengi wanaangalia umboNyinyi mnawaona kwenye post za insta wakishajipiga filter? Dully hadi ana mvi mnasemaje hazeeki? Dully anapaka nywele dawa ya rangi rangi kuficha mvi ,ni kama Katelephone na super black...na kwa miaka ya dully bado hauwezi kusema mzee maana alivyoanza gemu alikuwa kama Dogo janja ,je bado yupo vile vile kama dogo janja?
HahahahaSo umri wa@Madame b unaujua!
Unamuongelea mtu mwenye bima ya afya ya milele!Jakaya Mrisho Kikwete anaonekana bado ana nguvu as if ana miaka 50
Umetoka nje ya mada, hapa inaongelewa muonekano wa mtu Kwa nje na sio bima ya afya,Unamuongelea mtu mwenye bima ya afya ya milele!
Checkups za kila saa hata akikohoa kwa kupaliwa!
Hao watu ni another stage mazee.
Upo sahihi.Umetoka nje ya mada, hapa inaongelewa muonekano wa mtu Kwa nje na sio bima ya afya,
Kwani Michael Jackson yeye si alikuwa na madaktar chungu nzima Kwa ajili yake, achia mbali bima ya afya
Nafikiri wengi wanaangalia umbo
Aisee.
Kumbe filter ndo mchawi wetu.
Ila juzi hapa Dully alikuwa anahojiwa na kituo kimoja hv, ila alionekana kama badobado hv, sio sana na akina TID au FA