Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Unamaanisha Nini ? Sijakusoma. !!1.Samweli Sita
2.Kingunge
3.Ndesamburo
3.King Majuto
4.Masaburi
5.Masogange
6.Sam wa Ukweli
8.Maji Marefu
9.....
Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia mapito tuheshimiane,tupendane,dharau,kiburi,majivuno havina maana sana,mwisho kabisa tukumbule kusali sana,life is too short[emoji120]
Shule ulienda kufanya nini? mbona sred inaeleweka tuUnamaanisha Nini ? Sijakusoma. !!
Nilisomea ujinga ndiyo maana nipo hapa.Shule ulienda kufanya nini? mbona sred inaeleweka tu
ndio maana...!!Nilisomea ujinga ndiyo maana nipo hapa.
Shindwa kwa jina la YesuMbona umesahau kujilist
Mv nyerere tunaiweka kwa wapi hapa?1.Samweli Sita
2.Kingunge
3.Ndesamburo
3.King Majuto
4.Masaburi
5.Masogange
6.Sam wa Ukweli
8.Maji Marefu
9.....
Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia mapito tuheshimiane,tupendane,dharau,kiburi,majivuno havina maana sana,mwisho kabisa tukumbule kusali sana,life is too short[emoji120]
Huyu jamaa asee we acha tuBen Saanane je??? Maana duniani hayupo, na ahera bado hajafika anatafutwa!!!
ilianza kipindi cha kampeni vifo vya watu maarufu vingi vingiAwamu hii ina mikosi mingi sana....
Walikorofishana na mkuu wa mkoa shambani kwake, akarudi nyumbani kwake kuendea bunduki lake, kisha akarudi mpaka shamba na kumpiga mkuu wa mkoa. Halafu akaibeba maiti kuipeleka polisi. Alikua ana moyo dahHuyu jamaa asee we acha tu
Sred ni nini hiki..?Shule ulienda kufanya nini? mbona sred inaeleweka tu
Unamuongelea Sanane au?Walikorofishana na mkuu wa mkoa shambani kwake, akarudi nyumbani kwake kuendea bunduki lake, kisha akarudi mpaka shamba na kumpiga mkuu wa mkoa. Halafu akaibeba maiti kuipeleka polisi. Alikua ana moyo dah