Watu Maarufu Bongo waliokufa kipindi cha utawala wa Magufuli...

Watu Maarufu Bongo waliokufa kipindi cha utawala wa Magufuli...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
1.Samweli Sita
2.Kingunge
3.Ndesamburo
3.King Majuto
4.Masaburi
5.Masogange
6.Sam wa Ukweli
8.Maji Marefu
9.....

Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia mapito tuheshimiane,tupendane,dharau,kiburi,majivuno havina maana sana,mwisho kabisa tukumbule kusali sana,life is too short🙏
 
1.Samweli Sita
2.Kingunge
3.Ndesamburo
3.King Majuto
4.Masaburi
5.Masogange
6.Sam wa Ukweli
8.Maji Marefu
9.....

Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia mapito tuheshimiane,tupendane,dharau,kiburi,majivuno havina maana sana,mwisho kabisa tukumbule kusali sana,life is too short[emoji120]
Unamaanisha Nini ? Sijakusoma. !!
 
[emoji125][emoji125]napita tu nsije itwa hater

Ilaaa mbona kila utawala maarufu wanafariki
[emoji124][emoji124]
 
1.Samweli Sita
2.Kingunge
3.Ndesamburo
3.King Majuto
4.Masaburi
5.Masogange
6.Sam wa Ukweli
8.Maji Marefu
9.....

Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia mapito tuheshimiane,tupendane,dharau,kiburi,majivuno havina maana sana,mwisho kabisa tukumbule kusali sana,life is too short[emoji120]
Mv nyerere tunaiweka kwa wapi hapa?

Maana ata mwenye hlo jina alifariki tarehe hzi
 
Huyu jamaa asee we acha tu
Walikorofishana na mkuu wa mkoa shambani kwake, akarudi nyumbani kwake kuendea bunduki lake, kisha akarudi mpaka shamba na kumpiga mkuu wa mkoa. Halafu akaibeba maiti kuipeleka polisi. Alikua ana moyo dah
 
Unamuongelea Sanane au?
 
Back
Top Bottom