Watu Maarufu Bongo waliokufa kipindi cha utawala wa Magufuli...

Watu Maarufu Bongo waliokufa kipindi cha utawala wa Magufuli...

1.Samweli Sita
2.Kingunge
3.Ndesamburo
3.King Majuto
4.Masaburi
5.Masogange
6.Sam wa Ukweli
8.Maji Marefu
9.....

Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia mapito tuheshimiane,tupendane,dharau,kiburi,majivuno havina maana sana,mwisho kabisa tukumbule kusali sana,life is too short[emoji120]
Hiyo na 9.........umemuwekea nani mkuu?
 
1.Samweli Sita
2.Kingunge
3.Ndesamburo
3.King Majuto
4.Masaburi
5.Masogange
6.Sam wa Ukweli
8.Maji Marefu
9.....

Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia mapito tuheshimiane,tupendane,dharau,kiburi,majivuno havina maana sana,mwisho kabisa tukumbule kusali sana,life is too short🙏

Kwa hiyo tukiyafanya hayo uliyoyasema badala yake ndo hatutakufa?
 
1.Samweli Sita
2.Kingunge
3.Ndesamburo
3.King Majuto
4.Masaburi
5.Masogange
6.Sam wa Ukweli
8.Maji Marefu
9.....

Hii inatukumbusha na kutufundisha kwamba duniani hata uwe nani utakufa tu,dunia mapito tuheshimiane,tupendane,dharau,kiburi,majivuno havina maana sana,mwisho kabisa tukumbule kusali sana,life is too short🙏
Zilla,Ruge,Mengi,Pancho R.I.P
 
Back
Top Bottom