REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Washawasha msemajiKijana gani huyo
Ooooooh kumbe my god mungu atusaidie umenifumbua machoWashawasha msemaji
Wewe ni maarufu katika kada gani?Ooooooh kumbe my god mungu atusaidie umenifumbua macho
😂😂Wewe ni maarufu katika kada gani?
Ukiona tukio kubwa limetokea na hakuna aliyekamatwa basi jua "Teeth aka Meno" wapo kazini.Haijalishi wewe ulikuwa chawa au ulikuwa nani kinachotafutwa na tukio la mtu maarufu mwenye jina apate tukio mitandao ije imzungumzie wamejaribu kwa mwenzenu hapo juzi mmeona kijana mpole ila wamepita naye sasa kazi kwenu D9 tokeni acheni ushamba
Tunawambia wanasema tuache kuzua taharuki kazi kwao ni uzushi haya endeleeni ya iyena iyenaUkiona tukio kubwa limetokea na hakuna aliyekamatwa basi jua "Teeth aka Meno" wapo kazini.
Tukio la MC PiliPili Washawasha kutekwa ,kupigwa risasi na kuuawa kama hao waliotekeleza hawajakamatwa basi utapigilia mstari.
Wewe sema tunakuchosha utachoka kweli kweliMambo ya codes ni kuchoshana akili tu kwa sasa
Tunatumia id fake kwanini tunaogopa?
Mbona picha video za mauaji hazina codes?!
Acheni uwoga hatuna muda wa kuchakata leteni info kamilishi!