Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.
View attachment 212261
2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.
View attachment 212262
3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikana
View attachment 212263
4.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.
View attachment 212264
5.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.
View attachment 212265
6.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.
View attachment 212266
7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.
View attachment 212267
8.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.
View attachment 212268
9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.
View attachment 212269
10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.
View attachment 212273
Mkuu lakini Michael uislamu wake nadhani uliisha. Kama utakumbuka wakati yuko Bahrain alikuwa anataka Pope ambatizie watoto wake hivi kweli alikuwa bado muislamu?Huyo hao waliosoma thiolojia ya juu kabisa wakasilimu wakawa Waislam ni kina nani na hiyo thioljia haswa ni wa dhehebu lipi.... Usije kusema Mohammed Aly bondia au Michael Jackson walijiunga kwenye uislam kisa chuki za kimaisha tu.....
Lipi lnaweza kumfanya mtu asiye muislam ajiunge nao kwani Kupractice Dini na Matakwa ya Kiislam ni Shida kuu Duniani labda mtu ajiunge na aendelee kuzuga tu kam waislam wengi Duniani. Nikufahamishe tu hili Dollah linalojiita IS islamic State wao ndio hudai Wanafuata Uislam asilia kuua, Kubaka,Kuiba,Kunyang'anya mali, kuchukua Mateka kulazimisha watu wamuabudu Allah kingivu wanamlinda Allah na Kumuombea Mwamedi kwa Allah amsamehe... Mswalie Mtume Sijui kwa Kosa Lipi alilofanya ila kwa Muonekano yeye ndie Muasisi wa Dini hiyo na Hayo yatendekayo kwenye kupractice Uislam ukiona ni mabaya basi Muombee Mtume asamehewe maana Makosa yake yanarithi... ni nani anaweza kusilimu afanye hayo mambo ya ajabu hivi? kasome vizuri utakimbia usifuate watu ati alikuwa dini fulani kasilimu cha kwanza nenda ukawa challenge kwa Maswali machache utawaona ni weupe... Uislam umekuja baada ya dini zote so imeiga tu na kulazimisha na mtu haruhusiwi kutoka why why why....
Jim Leeves: mwimbaji wa muzik wa country alifariki kwa ajali ya ndege alifariki na miaka 45
Jim Leeves: mwimbaji wa muzik wa country alifariki kwa ajali ya ndege alifariki na miaka 45
alikuwa bilionea flani hivi wa kiarabu "Emad El-Din Mohamed Abdel Moneim Fayed better known as Dodi Fayed was the son of Egyptian billionaire Mohamed Al-Fayed. He was the lover of Diana, ...9.Princess Diana, miaka 36.
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
11.Ng'wanamalonde, mungu wa wanantuzu alifariki kwa kulogwa na ndiye mwasisi wa imani siyoisha ya ushitikina kanda ya ziwa.1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.
View attachment 212261
2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.
View attachment 212262
3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikana
View attachment 212263
4.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.
View attachment 212264
5.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.
View attachment 212265
6.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.
View attachment 212266
7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.
View attachment 212267
8.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.
View attachment 212268
9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.
View attachment 212269
10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.
View attachment 212273
Huyu kaka wa wiz khalif nini..
Ni huyu tuu ndie aliekufa kwa ngoma!?!duuu Maana naona wengi hapa ni ajali especially wa mbele huko......anyway wapumzike wanapostahili.Bila kumsahau Ali haji maneti aliekufa kwa ngoma
Hapana.Huyu kaka wa wiz khalif nini..