Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho

Jamaa alikuwa anaitwa Dod Fayad kama sikosei
 
1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.
View attachment 212261

2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.
View attachment 212262

3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikana
View attachment 212263

4.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.
View attachment 212264

5.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.
View attachment 212265

6.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.
View attachment 212266

7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.
View attachment 212267

8.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.
View attachment 212268

9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.
View attachment 212269

10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.
View attachment 212273

Christopher Scott Kyle, The most lethal sniper in American history. Died: February 2, 2013 (aged 38)
 
Patrick Lumumba ambaye aliuliwa na rais wa kipind hicho Josseph Kasavubu kwa kushirkiana na josaph Desire Mobutu(Mobutu Seseseko) pamoja na wabelgiji
 
Huyo hao waliosoma thiolojia ya juu kabisa wakasilimu wakawa Waislam ni kina nani na hiyo thioljia haswa ni wa dhehebu lipi.... Usije kusema Mohammed Aly bondia au Michael Jackson walijiunga kwenye uislam kisa chuki za kimaisha tu.....

Lipi lnaweza kumfanya mtu asiye muislam ajiunge nao kwani Kupractice Dini na Matakwa ya Kiislam ni Shida kuu Duniani labda mtu ajiunge na aendelee kuzuga tu kam waislam wengi Duniani. Nikufahamishe tu hili Dollah linalojiita IS islamic State wao ndio hudai Wanafuata Uislam asilia kuua, Kubaka,Kuiba,Kunyang'anya mali, kuchukua Mateka kulazimisha watu wamuabudu Allah kingivu wanamlinda Allah na Kumuombea Mwamedi kwa Allah amsamehe... Mswalie Mtume Sijui kwa Kosa Lipi alilofanya ila kwa Muonekano yeye ndie Muasisi wa Dini hiyo na Hayo yatendekayo kwenye kupractice Uislam ukiona ni mabaya basi Muombee Mtume asamehewe maana Makosa yake yanarithi... ni nani anaweza kusilimu afanye hayo mambo ya ajabu hivi? kasome vizuri utakimbia usifuate watu ati alikuwa dini fulani kasilimu cha kwanza nenda ukawa challenge kwa Maswali machache utawaona ni weupe... Uislam umekuja baada ya dini zote so imeiga tu na kulazimisha na mtu haruhusiwi kutoka why why why....
Mkuu lakini Michael uislamu wake nadhani uliisha. Kama utakumbuka wakati yuko Bahrain alikuwa anataka Pope ambatizie watoto wake hivi kweli alikuwa bado muislamu?
 
Jim Leeves: mwimbaji wa muzik wa country alifariki kwa ajali ya ndege alifariki na miaka 45

Yule Mmarekani mweusi aliyeigiza kama lile lidudu kwenye movie za Arnold za Predator alikufa kijana baada ya kuwekewa kwa makusudi damu yenye virusi vya UKIMWI.
Racism sijui itaisha lini kwa nchi za wenzetu.
 
9.Princess Diana, miaka 36.

........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho
alikuwa bilionea flani hivi wa kiarabu "Emad El-Din Mohamed Abdel Moneim Fayed better known as Dodi Fayed was the son of Egyptian billionaire Mohamed Al-Fayed. He was the lover of Diana, ...
 
1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.
View attachment 212261

2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.
View attachment 212262

3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikana
View attachment 212263

4.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.
View attachment 212264

5.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.
View attachment 212265

6.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.
View attachment 212266

7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.
View attachment 212267

8.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.
View attachment 212268

9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.
View attachment 212269

10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.
View attachment 212273
11.Ng'wanamalonde, mungu wa wanantuzu alifariki kwa kulogwa na ndiye mwasisi wa imani siyoisha ya ushitikina kanda ya ziwa.
 
Huyu kaka wa wiz khalif nini..
Hapana.

Hana undugu wowote na Wiz Khalifa.

Huyo ni OL DIRTY BASTARD (ODB).

Alikuwa ni mmoja wa wasanii wa kundi la Wu Tang.

Pata burudani hapo chini kutoka kwa ODB:-
 
Back
Top Bottom