Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

inasemekana jamaa mwenywe alikuwa ana mpunga mref
 
Kuna nini kinachofanya hawa Celebrity wa hapa Bongo hata Dunia hawafiki 50
 
Bila kumsahau Ali haji maneti aliekufa kwa ngoma
Aliyekuwa mke wake Kida Waziri alisema Maneti alikufa kwa sababu za kimazingara na si NGOMA kama inavyofikiriwa. Kama ingekuwa hivyo hata Kida na Mtoto wake wangeshakufa maana wakati ule madawa yalikuwa adimu
 
Dodi Al Fayed
 
TOM MBOYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…