Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Huyu left eye ndo alikuwepo kwenye never be the same again ........duh ...miaka 31 ameish .....toa miaka 14 ya utoto ...imebak miaka 17 ya yeye kuwa MTU mzma na kujitambua ...toa pengne miaka 5 aliumwa ..inabak miaka 12 ....ila fujo tulozfanya n kubwa kumkosea alotuumba ..........turud kwa mwenyez mung .....hapo kabla nlikuwa shabiki wa mziki ila mung alintoa huko sabb hakuna faida zaid ya kupotea ...kama nlivompenda left eye ktk Shari bas ningempenda ktk kheri lait Ingewezkana ...lakini kalamu imenyanyuliwa na wino umekauka
 
Malick el shabbaz ...'malcom x' ....(may Allah have mercy upon him ) ndugu yetu huyu mung amkubal ......alifanya juhud kubwa kipind kile licha ya elimu ya dini yke kuwa ya kawaida alisilimisha mamia ya watu ......tunamdhania ni shahid na tunamuomba Allah amkubali
 
Princess Diana alikufa mjini Paris Ufaransa kwenye tunnel (barabara ipitayo chini ya ardhi) baada ya kugonga vijiguzo vinavyokinga ukuta.
Alikuwa na boyfriend wake Mohammed "Dodi" Al Fayed, mwarabu wa Misri

Inasemekana alikuwa tayar n mjamzito na alikuwa anapanga kusilim ...so family ya yke ikamuona n bora ... Imu assasinate ili asiolewe na asizae na muislam ????
 
Huyo jamaa naye alikufa ??
Famous People Killed By The Illuminati



 
Ni dodi al fayed mwarabu nahisi ndio wenye chama la fulham FC huko uingreza
Fulham ni ya baba wa Dodi,mzee Mohammed al Fayed.Ndiye pia mmiliki wa The Harrods, Ritz hotel na biashara nyingine kibao.
 
Which crack r u smoking ,??
 
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme.
Hapana gari yao haikugonga nguzo ya umeme,ilikuwa ni crush katika tunnel,angalia picha sehemu ya ajali.

Britain's Princess Diana died Sunday in a car crash after being pursued at high speed by paparazzi on motorcycles Her wealthy companion, Dodi Fayed, and their chauffeur also died when their Mercedes crashed in a tunnel along the Seine River at the Pont de l'Alma bridge, just north of the Eiffel Tower.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…