Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.
View attachment 212261

2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.
View attachment 212262

3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikana
View attachment 212263

4.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.
View attachment 212264

5.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.
View attachment 212265

6.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.
View attachment 212266

7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.
View attachment 212267

8.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.
View attachment 212268

9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.
View attachment 212269

10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.
View attachment 212273

amina chifupa?
 
Ndio ameshafariki, mbona ni muda sana, kumbe hukuwa na taarifa.

Ni miaka minne sasa imeshafika



Ndio, Chris Kelly wa Kriss Kross ndie alietutoka ila mwenzake Mac Daddy bado yuko hai.

Chris Kelly madawa ya kulevya(Unga) ndio yaliomuondoa hapa Duniani, alizidisha kipimo.

Huyu hapa pichani ndie Marehemu Chris Kelly.
20130502-zaf-s85-001-jpg.jpg



Pamoja ya kuwa wana vibao vingi ila kwa kweli Kriss Kross hakuna asiewafahamu kwa vibao vyao hivi viwili vilivyobamba sana, ambavyo ni Jump na I missed the bus

Hebu ngoja tujikumbushe kwa vibao vyao hivi viwili vikali sana vinafuata hapo chini


I like the i missed the bus oooh my sister ndo alikuwa anachizika na candy rain wa soul 4 real along side heavy d
 
Utata kivipi ni uroho, Kuna Nyama ilikuwa na sumu ilitegwa maana ilipikwa vizuri na mke wake aliyekuwa ni Myahudi... nasikia baada ya kuzikwa Nguruwe na Mbwa walifukua na wakaila mikono hadi leo hii ni haramu. Na Wayahudi ni adui hadi leo


Hebu tuwe na hshima na dini za wenzetu mkuu.
 
9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa.9.Princess Diana, miaka 36.
Alikuwa ni mke wa mtoto wa
Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa
ajali ya gari, wengi wanashuku
ajali hiyo ilipangwa........
........ Huyu princess Diana alikufa kwa ajali ya gari wakat akiwakimbia mapaparazi nchini ufaransa aligonga nguzo ya umeme. Hyo ni baada ya kuachana na mtoto wa malkia na kujiingiza kwenye mahusiano na jamaa flan hvi japo sikumjua vizr aliyekuwa anamchukua kwa kipind hicho

Jamaa alikuwa anaitwa Dodi al Fayed bilionea wa kiarabu
 
Daud Mwangosi
Said Mwamba Kizota
Patrick Mutesa Mafisango
Tito Vilanova Kocha wa Barca
Albert Mangwea
 
Lady Luu huyu Dada alitamba na kibao chake Pesa kilichokuwa katika mtindo wa Ragga. May her soul continue to Rest In Peace
 
Back
Top Bottom