Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

Watu maarufu duniani waliofariki kabla ya kufikisha miaka 50

1580085571981.png
 
Aisha Madinda
Du! Aisha Madinda alishafariki? Nilidhani kapotea kwenye anga kwa sababu ya Twanga Pepeta kufifia tu.

Wengine ni hawa
(a) Edward Moringe Sokoine (46),
(b) Hussein Ramadhan Shekilango (43)
(c) Mtemi Mkwawa Munyigumba wa Uhehe (43)
(d) Mtemi Mirambo Mtyela Kasanda wa Unyanyembe (44)
(e) Eduardo Mondlane wa Frelimo (49)
(f) Steve Biko wa ANC (31)
(g) Niels Henrik Abel (27)- Mwana hisababati aliyevumbua formula ya kukokota jibu la quintic equation; Abelian groups kwenye Abstratct Algebra zimepewa jina lake
(h)Adolf Hitler (45) - Anajulikana duniani kote kwa sababu ya WW2
(i) Capt Thomas Sankara (37)- Shujaa wa Afrika
(j) Babu yangu (alifariki akiwa anapigana vita ya kwanza dunia dunia akiwa na miaka 22)
(k) Lt Col Nathan Netanyahu (30)- Komandoo aliyeongoza kikosi cha kukomboa ndege ya Air France iliyokuwa imetekwa Uganda
(l) Yesu Kristo wa Nazaret (32)- Mwanzilishi wa ukristo
(m) Alexander the Great (33) - Mtawala wa Ugiriki
(n) Abdullah Kassim Hanga (37) - Huyu alinyongwa kikatili na Karume kwa kuogopa usomi wake
(o) Heinrich Rudolf Hertz (37)- Huyu ndiye aliyegundua electromagnetic waves zinazotupa cellphone, TV na internet leo.
(p) Wilbur Wright (45) - Mmoja wa ndugu wawili waliogundua na kuunda ndege ya kwanza
(q) Patrice Hemery Lumumba (36)- ndiye aliyeongoza mapamabo ya kugomea uhuru wa Kongo (DRC)
(r) Elvis Aaron Presley (42) - mwanamuziki machachari wa Rock'n Roll kutokea kipande ya Tennessee
(s) Thomas Joseph Odhiambo Mboya (Tom Mboya)-(39) Alikuwa mwanasiasa makini sana Kenya akauawa kinyamana na jamaa anaitwa Njoroge kwa amri ya Kenyatta
(t) Dr. Wilbert Kreluu (35)- Aliuwawa Kinyama na mkulima mmoja wa Kihehe akiwa Mkuu wa mkoa
(u) Prof Hermann Minkowski (44)- Huyu ndiye aliyekuwa professor wa Albert Einstein, na alimfelisha mara mbili. Anajulikana sana kwa Minkwoski inequality- kwenye Topology na Functional Analysis
(v) Ferdinand Magellan (41)- Huyu alikuwa mtu wa kwanza kusafri na kuizunguka dunia kwa mashua akathindisha kuwa dunia ni mduara. Navigation Satellites za Ulaya zimepewa jina lake
(w) Nikolai II Alexandrovich Romanov (~50) Mfalme wa mwisho wa urusi; alinyongwa akiwa anagusa miaka 50 tu kabla hata hajajua utamu wake
(x) Kabaka Mwanga II Mukasa (Chief of Buganda) - (34); Huyu alikuwa na record ya kuwa na wake 16 lakini alizaa watoto 10 tu.
(y) George Mukabi (33)- Huyu alikuwa mwanamuziki maarufu sana Afrika ya Mashariki kwa mziki wa magalatoni
(z) Diana, Princess of Wales (36)
 
Kama Utani Kobe Bryant ameingia kwenye orodha.

Kwaheri shujaa
 
Back
Top Bottom